Kocha tayari amewasili tutamtambulisha wakati wowote - Kamwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1h ago
Kocha tayari amewasili tutamtambulisha wakati wowote - Kamwe

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema kocha mpya wa timu hiyo tayari amewasili kinachosubiriwa ni utambulisho wake tu.

Akizungumza na wanahabari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar hapo jana ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao n4-0, Kamwe alisema kuna taratibu za kiofisi zinaendelea kabla ya kumtambulisha kocha huyo.

"Kocha tayari yupo nchini kinasubiriwa ni kukamilika kwa taratibu za ndani kisha tutamtambulisha."

"Kama mambo yataenda kama yalivyotarajiwa kunaweza kumtambulisha wakati wowote kuanzia kesho (leo)," alisema Kamwe

Kuhusu maandalizi ya kikosi wakati huu ambao ligi itasimama kwa takribani wiki tatu kupisha kalenda ya FIFA, Kamwe amesema wamemuachia kocha mpya jukumu la kuandaa program hiyo wakifahamu baada ya mapumziko, kuna mechi za ligi zitaendelea na hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa.

Jina la kocha wa zamani wa timu hiyo Sead Ramovic ndilo linalotajwa kutarajiwa kuchukua mikoba iliyoachwa na Manqoba Mngqithi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kangwanda ana kazi ya kufanya Yanga
Kangwanda ana kazi ya kufanya Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 02 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Novemba 02 2026
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 4-0 Kagera Sugar, NBC PL (FT)
Highlights : Yanga 4-0 Kagera Sugar, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 4-0 Kagera Sugar, NC PL, Nov 1
FT : Yanga 4-0 Kagera Sugar, NC PL, Nov 1
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Kagera Sugar, NBC PL, Nov 1
Kikosi : Yanga vs Kagera Sugar, NBC PL, Nov 1
16h ago
READ MORE β†’
Matchday : Yanga vs Kagera Sugar, NBC PL, Nov 1
Matchday : Yanga vs Kagera Sugar, NBC PL, Nov 1
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 01 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Novemba 01 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mzize arejeshwa kikosi cha Stars
Mzize arejeshwa kikosi cha Stars
1d ago
READ MORE β†’
Zimbwe Jr atuma ujumbe mzito Kagera Sugar, asema Yanga haijaridhishwa na nafasi ilipo
Zimbwe Jr atuma ujumbe mzito Kagera Sugar, asema Yanga haijaridhishwa na nafasi ilipo
1d ago
READ MORE β†’
Dladla atabiri mechi ngumu dhidi ya Kagera Sugar, ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi
Dladla atabiri mechi ngumu dhidi ya Kagera Sugar, ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi
1d ago
READ MORE β†’