Matchday; Yanga vs Muembe Makumbi, Muungano Cup, April 21

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Apr 2026
Matchday; Yanga vs Muembe Makumbi, Muungano Cup, April 21

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo wanafungua pazia la michuano ya kombe la Muungano katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Muembe Makumbi utakaopigwa saa 1:15 usiku uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Yanga inashiriki michuano hiyo kama mabingwa watetezi wakitwaa taji hilo mwaka jana baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKU katika mchezo wa fainali.

Yanga imetua Zanzibar ikiwa na kikosi chake kamili benchi l ufundi likionyesha dhamira ya kutetea taji hilo kwa msimu mwingine.

Hata hivyo Yanga inatumia michuano hiyo kama sehemu ya maandalizi yake kuelekea mchezo wa ligi kuu dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao Simba ambao utapigwa May 03 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ni wazi Kocha Mkuu wa Yanga Pedro Goncalves atatumia michuano hiyo pia kuwapa nafasi wachezaji ambao hawajatumika sana msimu huu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
45m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’