Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Shekhan Khamis kipaji kingine kutoka visiwani Zanzibar
Yanga imekuwa na utamaduni wa kusajili wachezaji chipukizi wenye vipaji kutoka Zanzibar, Shekhan ni miongoni mwa wachezaji walionufaika na utaratibu huo
Akiwa kwenye msimu wake wa pili na Yanga, Shekhan ameendelea kuimarika na unaweza kusema ni suala la muda tu atakuwa miongozi mwa majina makubwa katika soka la Tanzania
Sasa yuko kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania inayoshiriki michuano ya CHAN 2024
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY SHEKHAN...!
ADVERTISE HERE