FT : Yanga 1-2 Augsburg Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jul 2024
FT : Yanga 1-2 Augsburg Fc

Mchezo wa ufunguzi Mpumalanga International Cup kati ya Yanga dhidi ya Augsburg umemalizika kwa Wananchi kukubali kichapo cha mabao 2-1 katika mchezo mkali uliopigwa katika uwanja wa Mbombela

Ulikuwa mchezo wa vipindi viwili, Augsburg wakitawala kipindi cha kwanza huku Yanga wakiwa bora zaidi katika kipindi cha pili

Jean Baleke alifunga bao pekee la Yanga katika mchezo huo ambao pengine ingeweza kusawazisha na hata kushinda mchezo huo kutokana na nafasi nyingi walizotengeneza katika kipindi cha pili

Augsburg ni timu inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani ambapo msimu uliopita walimaliza katika nafasi ya 11

Kilikuwa kipimo kizuri kwa Yanga ambayo haikuwa na muda mrefu wa maandalizi kulinganisha na wapinzani wao ambao walianza pre-season wiki ya kwanza ya Julai

Mchezo utakaofuata kwa Yanga ni dhidi ya TS Galaxy utapigwa Julai 24, hata hivyo mchezo huu hautaonyeshwa mbashara wala mashabiki kuruhusiwa kuingia uwanjani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’