Wachezaji Yanga watahadharishwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2021
Wachezaji Yanga watahadharishwa

Baada ya kuachana na benchi la ufundi, uongozi wa klabu ya Yanga umefanya kikao na wachezaji kuwakumbusha kuwa wanapaswa kujituma ili kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi, Dominic Albinus amesema hawatamvumilia mchezaji yeyote ambaye atashindwa kuwajibika kwa ajili ya Yanga

"Benchi la ufundi limeondoka baada ya vikao husika vya ndani na uongozi wote kukubaliana kwamba kocha aondoke lakini pia tumeongea na wachezaji na kuwaambia kuwa wao ndio sababu ya benchi kuondoka"

"Wanapaswa kujituma kwa ajili ya nembo ya klabu, hatutamvumilia mchezaji ambaye hapambanii klabu yetu," alisema Albinus

Jana jioni uongozi wa Yanga ulitangaza kumfuta kazi kocha Cedric Kaze na benchi lake la ufundi baada ya mfululizo wa matokeo mabaya

Yanga inasuka upya benchi lake la ufundi, zoezi hilo likitarajiwa kukamilishwa ndani ya wiki hii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’