Wakati wakielekea mkoani Arusha kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania, njiani Wananchi walijitokeza kwa wingi kuwapa hamasa wachezaji
Wakiwa Moshi, Wananchi 'walihanikiza' kwa nyimbo za kutia hamasa. Jumapili Yanga itashuka tena dimbani, uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili Polisi Tanzania
Kipigo dhidi ya Coastal Union ni matokeo tu ya mchezo, mapambano lazima yaendelee

ADVERTISE HERE