Jana Wananchi wa Ruaha mkoani Iringa walikuwa na jambo lao ambapo ulifanyika uzinduzi wa Tawi la Yanga, Ruaha Mbuyuni


Unapozungumzia timu kubwa na pendwa zaidi hapa Tanzania, unawazungumzia mabingwa wa kihistoria, Yanga
Ni suala la muda tu, ufalme katika soka la Tanzania utarejea mikononi mwa Wananchi
Ruaha Mbuyuni wanasema: MKIA NAFASI YAKE NYUMA
ADVERTISE HERE