Ninja, Kabwili, Yacouba warejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2021
Ninja, Kabwili, Yacouba warejea kikosini

Kwa wiki kadhaa, Yanga imekabiliwa na changamoto ya kuwakosa baadhi ya wachezaji wake kutokana na majeruhi

Mtaalamu wa tiba katika kikosi cha Yanga Dk Muganda amesema nyota wanaokosekana sasa wamebaki watatu baada ya wengine kupona

Dk Muganda amebainisha kuwa Mshambuliaji Yacouba Songne amepona na yuko tayari kushuka dimbani huku beki Abdallah Shaibu 'Ninja' na kipa Ramadhan Kabwili nao wakirejea kikosini.

Ninja alikuwa mgonjwa wakati Kabwili alikuwa akisumbuliwa na majeraha

Wachezaji ambao bado wanaendelea kuimarika ni Ntibazonkiza, Job na Balama

"Tulikuwa na majeruhi saba, ukijumusia Mukoko lakini Mukoko naye yuko sawa na amenieleza kwamba kesho atarudi kambini na wenzake, hivyo tutabaki na majeruhi watatu ambao ni Said Ntibazonkiza, Dickson Job na Balama Mapinduzi," alisema Dk Muganda

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’