Tusahau yaliyopita, tujipange kwa yajayo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Feb 2021
Tusahau yaliyopita, tujipange kwa yajayo

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokatishwa tamaa na matokeo yaliyopita, akiwataka waiunge mkono timu yao kuhakikisha inafanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

Nugaz amesema matokeo ya nyuma yameshapita muhimu ni kujipanga vizuri zaidi kwa wanaokuja mbeleni

Kesho Jumamosi, Yanga itashuka tena uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Baada ya kulazimishwa sare ya mabao 3-3 dhidi ya Kagera Sugar, huu ni mchezo ambao Yanga inahitaji kushinda

"Jumamosi hii ya tarehe 20/02/2021 ndani ya Uwanja wa Mkapa saa 1 Kamili usiku tunacheza Mchezo mwengine wa ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar"

"Wanachama, wapenzi na Mashabiki tujitokeze kwa wingi Uwanjani kuipa hamasa timu yetu bila kuchoka ili kuzitafuta alama tatu muhimu," amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’