Yacouba kamili kuikabili Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2021
Yacouba kamili kuikabili Kagera Sugar

Mshambuliaji Yacouba Songne anaweza kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kitakachoikabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 1 usiku

Yacouba alipata majeraha kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi hivyo kupelekea akawa nje wa wiki tatu

Nyota huyo raia wa Burkina Faso ndiye kinara wa pasi za mabao (nne) katika kikosi cha Yanga, pia amewafungia mabao manne mabingwa hao wa kihistoria

Hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza na Mbeya City mchezo uliopita mkoani Mbeya, kocha Cedric Kaze akimpumzisha

Yacouba ndiye mpishi wa mabao matatu kati ya matano yaliyofungwa na Deus Kaseke msimu huu

Wawili hao wanapokuwa pamoja uwanjani, mara nyingi Yanga imekuwa ikiondoka na alama zote tatu

Huu ni mchezo mwingine ambao Yanga inahitaji ushindi, bila shaka, Yacouba na Kaseke wanaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoanza leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’