Mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya African Sport utapigwa Jumamosi, Februari 06 katika uwanja wa Azam Complex
Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku
Huu utakuwa mchezo wa kwanza wa kujipima kwa kikosi cha Yanga baada mapumziko ya wiki kadhaa tangu kumalizika kwa michuano ya kombe la Mapinduzi
ADVERTISE HERE