Wanahabari leo wamekata kiu kwa kupata majibu ya maswali ambayo wamekuwa wakijiuliza kuhusu nyota wa Yanga wanavyoishi ndani ya Mji wa kisasa wa Avic Town, Kigamboni
Kuanzia maisha ya wachezaji, maandalizi na masuala mengine yanayoihusu Yanga




Leo wamejionea aina ya maandalizi ambayo vinara wa ligi kuu ya Wanawake Yanga Princess wanayapata na hata kubaki kileleni mwa msimamo tangu mwanzoni mwa msimu huu
Kocha Mkuu wa Yanga Princess Ednar Lema amewahakikishia kuwa msimu huu kikosi chake hakitabakisha kitu ligi kuu ya Wanawake kwani wamedhamiria kubaki kileleni mpaka mwezi Mei pale watakapokabidhiwa ubingwa wa Ligi hiyo maarufu Serengeti Lite
ADVERTISE HERE