Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amewasilisha barua ya kukata rufaa TFF kupinga adhabu ya kufungiwa miaka mitatu
Aidha uongozi wa Yanga umewasilisha Malalamiko kwa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakipinga Afisa wao wa habari kutotendewa haki lakini pia wakiwasilisha malalamiko yao juu ya kesi mbalimbali dhidi ya TFF
Malalamiko hayo pia yamewasilishwa kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo
ADVERTISE HERE