Injinia Hersi ataja vigezo vilivyotumika kumpata Kocha Msaidizi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2021
Injinia Hersi ataja vigezo vilivyotumika kumpata Kocha Msaidizi

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amesema leo watamtambulisha Kocha Msaidizi anayechukua nafasi ya Juma Mwambusi

Hersi ambaye pia ni Mkurugenzi wa uwekezaji GSM, amesema mchakato wa kumpata kocha msaidizi ulifanyika kwa kufuata vigezo ambavyo walijiwekea

Katika mahojiano maalum aliyoyafanya 'mbashara' jana kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Hersi alisema walihitaji Kocha Msaidizi awe Mtanzania, awe na leseni B ya ukocha na muhimu zaidi awe kijana ambaye aliwahi kucheza klabu ya Yanga

Amesema Kocha huyo atatambulishwa rasmi hii leo

Kocha Mkuu wa African Lyon Nizar Khalfan ndiye anayetarajiwa kukabidhiwa mikoba ya kumsaidia Kocha Mkuu Cedric Kaze

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
25m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’