Kaze hataki masihara, awazuia mastaa kuingia kambini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jan 2021
Kaze hataki masihara, awazuia mastaa kuingia kambini

Jana ilikuwa siku ya kwanza kwa kikosi cha Yanga kuanza mazoezi kujiandaa na mwendelezo wa mechi za mzunguuko wa pili ligi kuu ya Vodacom pamoja na kombe la FA

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze aliwapa wachezaji wote mapumziko ya siku 10 na walipaswa kuingia kambini jana kabla ya saa 6:30 mchana

Sasa kilichotokea baadhi ya wachezaji wa kigeni walionja 'joto ya jiwe' baada ya kuzuiwa kuingia kambini pale waliporipoti nje ya muda waliopangiwa

Haruna Niyonzima, Carlos Carinhos, Mukoko Tomombe na kipa Farouk Shikhalo ni miongoni mwa wachezaji ambao walikwamia getini na kushindwa kuingia kambini baada ya Kaze kuwapiga 'pini'

Nyota hao wanaweza wakakabiliwa na adhabu za kinidhamu ikiwemo kukatwa mshahara kwa kukiuka masharti ya kambi

Juzi Meneja wa Yanga Hafidh Saleh alieleza ratiba ya kuanza kwao kambi hiyo, alisema kocha hataki kujua mchezaji alikwenda wapi katika mapumziko ya siku 10 walizopewa, alichotaka ni saa 6:30 mchana kila mchezaji ambaye alitakiwa kuwasili kambini kuwa humo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’