Yanga kucheza mchezo wa kirafiki Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2017
Yanga kucheza mchezo wa kirafiki Jumamosi
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kushuka katika uwanja wa Taifa Jumamosi Disemba 16 kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Jeshi la Polisi la Tanzania.

Mchezo huo maalumu unapigwa katika uwanja wa Taifa kuanzia saa kumi kamili jioni.

Viingilio;

VIP A - Tsh 10,000/-
VIP B - Tsh 5,000/-
Mzunguuko - Tsh 3,000/-

Hii ni nafasi nzuri kwa mashabiki wa Yanga kwenda kuishuhudia timu yao ikicheza katika uwanja wa Taifa uliofunguliwa hivi karibuni baada kufanyiwa ukarabati mkubwa wa sehemu ya kuchezea.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’