Kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama amerejea kutoka Afrika Kusini alikofanyiwa upasuaji wa jeraha la kifundo cha mguu
Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amesema Balama ataendelea na matibabu kwa muda wa wiki tano kabla ya kuwa tayari kurejea katika majukumu yake
Karibu tena nyumbani na ugua pole Balama...!
ADVERTISE HERE