Yanga kurejea mazoezini Jumatatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2021
Yanga kurejea mazoezini Jumatatu

Mabingwa wa michuano ya kombe la Mapinduzi Yanga, watarejea mazoezini Jumatatu kuanza maandalizi ya kukamilisha maandalizi ya ngwe ya lala salama ligi kuu pamoja na kombe la FA

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze aliwapa wachezaji wake mapumziko ya siku 10 na watarejea Kigamboni Januari 25

Kaimu Katibu Mkuu Haji Mfikirwa amesema nyota wote wakiwemo waliosajiliwa dirisha dogo Dickson Job na Fiston Abdul Razak, wataripoti kambini Jumatatu

Yanga ndio vinara wa ligi kuu wakiwa wamejikusanyia alama 44 baada ya kushuka dimbani mara 18

Mabingwa hao wa kihistoria, wamepania kubaki kileleni mpaka mwezi Mei pale ligi itakapofikia tamati

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’