Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', kesho Jumanne itashuka uwanjani huko Cameroon kucheza mchezo wa kwanza wa michuano ya CHAN 2021 dhidi ya Zambia
Nyota sita wa Yanga, Feisal Salum, Farid Mussa, Yassin Mustafa, Deus Kaseke, Bakari Nondo Mwanyeto na Ditram Nchimbi ni miongoni mwa nyota wa Stars ambao kesho watakuwa na jukumu la kuiwakilisha nchi
Huu ni mchezo muhimu kwa Stars kuanza na ushindi ili kuweka hai matumaini ya kuvuka hatua ya makundi ya michuano hiyo inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani
ADVERTISE HERE