Kaze atoa mapumziko Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2021
Kaze atoa mapumziko Yanga

Baada ya kutwaa michuano ya kombe la Mapinduzi, kocha mkuu wa Yanga Cedric Kaze amewapa wachezaji wake mapumziko ya wiki moja

Wakati huu ligi imesimama kupisha michuano ya CHAN inayoendelea nchini Cameroon

Ligi itarejea mwanzoni mwa mwezi wa pili baada ya michuano hiyo ambayo Tanzania inashiriki kumalizika

Baadhi ya nyota wa kigeni wamepata wasaa wa kusafiri kwenda makwao kuonana na familia zao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’