Fainali za Michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani, zilianza jana nchini Cameroon kwa mechi mbili kupigwa ambapo wenyeji Cameroon walianza kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimbabwe kisha kufuatiwa na mchezo kati ya Mali dhidi ya Burkina Faso ambap ulimalizika kwa Mali kushinda bao 1-0
Michuano hiyo inaendelea leo kwa mchezo kati ya Libya dhidi ya Niger utakaopigwa saa moja usiku na kufuatiwa na mchezo kati ya DR Congo dhidi ya Congo saa nne usiku
Wawakilishi wetu Taifa Stars wao watashuka dimbani keshokutwa Jumanne, kuikabili Zambia, saa moja usiku
Ratiba ya mechi za wiki hii;

ADVERTISE HERE