Dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Novemba 15 linatarajiwa kufungwa Ijumaa ya wiki hii, Disemba 15 zikiwa zimebaki siku nne pekee.
Yanga tayari imesajili wachezaji wawili kipindi hiki, Fiston Kayembe Kanku na Yohana Mkomola.
Kamati ya usajili ya Yanga inayoongozwa na Mwenyekiti wake Hussein Nyika inaendelea na zoezi la kukamilisha usajili wa wachezaji waliobaki kulingana na mapendekezo ya kocha George Lwandwamina.
"Tunaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya Mwalimu. Usajili wetu sisi ni wa kimyakimya tutaweka kila kitu hadharani mambo yakishakamilika," amesema Nyika.

ADVERTISE HERE