Moja ya mapendekezo ya kocha mkuu wa Yanga Cedric Kaze ni kuimarisha safu yake ya ulinzi akihitaji usajili wa beki wa kati mzawa
Inaelezwa jicho la Kaze limetua kwa beki kisiki wa Mtibwa Sugar Dickson Job
Zilizochini ya kapeti ni kuwa Job yuko njiani kujiunga na Yanga baada ya makubaliano ya usajili wake kufikiwa
Job atakuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Yanga msimu huu akitokea Mtibwa Sugar miamba hao wa soka nchini mwanzoni mwa msimu wakimsajili Kibwana Shomari
ADVERTISE HERE