Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi
Mshindi wa mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Malindi (atakayekuwa kinara wa kundi C) ndiye atakayechuana na Yanga kesho mchezo wa nusu fainali ambao utapigwa saa kumi Alasiri




ADVERTISE HERE