Lamine apewa ruhusa maalum

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2021
Lamine apewa ruhusa maalum

Nahodha wa Yanga Lamine Moro hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kinachokwenda visiwani Zanzibar leo kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

Nyota huyo amepewa ruhasa kusafiri kwao Ghana kuona familia yake. Beki huyo kisiki hakuwa amesafiri nchini kwao baada ya msimu uliopita kumalizika kutokana na nchi hiyo kuwa na lock-down iliyosababishwa na corona

Kikosi cha wachezaji 20 kinatarajiwa kutua visiwani Zanzibar leo wakitarajiwa kuanza kampeni ya kuwania ubingwa kesho Jumanne kwa mchezo dhidi ya Jamhuri Fc

Wachezaji hao ni Metacha Mnata, Ramadhani Kabwili, Farouk Shikhalo, Adeyum Saleh, Said Juma, Kibwana Shomari na Abdallah Shaibu

Wengine ni Haruna Niyonzima, Saido Ntibazonkiza, Zawadi Mauya, Carlos Carlinhos, Yacouba Songne, Mukoko Tomombe, Tuisila Kisinda, Mchael Sarpong, Waziri Junior na Paulo Godefrey

Pia wamo Omary Chibada, Abdulkarim Yunus na Arafat Hussein kutoka timu ya vijana Yanga B

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’