Ligi kusimama kupisha Mapinduzi Cup, CHAN

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2020
Ligi kusimama kupisha Mapinduzi Cup, CHAN

Baada ya mchezo wa leo dhidi ya Tanzania Prisons ambao umemalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1, Yanga imefunga mwaka 2020 ikiwa kileleni wa msimamo wa ligi ikiwa na alama 44

Wananchi wameilinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo mpaka sasa msimu huu

Ligi inatarajiwa kusimama kwa wiki kadhaa kupisha michuano ya kombe la Mapinduzi na baadae michuano ya CHAN inayoanza Januari 16

Habari njema ni kuwa bado dirisha dogo la usajili liko wazi, kocha Cedric Kaze atakuwa na nafasi ya kuimarisha kikosi chake kwa kuboresha maeneo yenye mapungufu

Zipo taarifa kuwa GSM wako katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambuliaji mmoja wa kigeni

Kaze atatumia kipindi hiki cha mapumziko kuimarisha kikosi chake kuhakikisha hesabu za ubingwa zinabaki salama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’