Injinia Hersi afichua 'Big Signing' inayokuja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Dec 2020
Injinia Hersi afichua 'Big Signing' inayokuja

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said jana amefichua kuwa amepokea taarifa nzuri kuhusu mchezaji mmoja muhimu waliyekuwa wakimfuatilia kuweza kumsajili

Bila ya kumtaja mchezaji huyo, Hersi alisema yapo matumaini kuwa nyota huyo atajiunga na Yanga katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo

"Ni mchezaji mzuri ambaye tuliona angeweza kuongeza kitu katika kikosi chetu. Kama tulivyosema, kwa sasa hatusajili tu, mchezaji tunayemsajili lazima awe bora zaidi ya hawa tulionao, usajili wa Saido (Ntibazonkiza) ni mfano"

"Tumefanya jitihada, nikiri hakukuwa na uwezekano wa kumpata katika usajili huu wa dirisha dogo, lakini leo asubuhi (jana) nimepokea taarifa nzuri ambayo imenipa matumaini kuwa tunaweza kumpata wakati huu"

"Nisingependa kumtaja mchezaji huyo wakati huu kwani huko nyuma utaratibu (wa kutaja majina) ulituletea matatizo katika usajili wa baadhi ya wachezaji"

Je ni nani huyu???

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’