Yondani aumia Stars ikilala mbele ya Zanzibar Heroes

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Dec 2017
Yondani aumia Stars ikilala mbele ya Zanzibar Heroes
Beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani ameumia wakati akiitumikia Kilimanjaro Stars katika michuano ya Chalenji dhidi ya Zanzibar Heroes.

Yondani alitolewa dakika chache tu tangu kuanza kwa mchezo ambao Stars ililazwa mabao 2-1 na ndugu zao Zanzibar Heroes.

Baadae alipelekwa Hospitalini kwa matibabu zaidi.

Taarifa zaidi kuhusu majeraha yake zinatarajiwa kutolewa baada ya kukamilika uchunguzi wa kitabibu.

Yondani amekuwa katika kiwango bora msimu huu, akiwa mhimili muhimu kwenye safu ya ulinzi ya Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’