Bumbuli awapiga dongo Simba ushindi wa KMC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2020
Bumbuli awapiga dongo Simba ushindi wa KMC

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wao wataendelea kupambana kuhakikisha wanapata matokeo halali ndani ya uwanja

Bumbuli amewapiga dongo Simba ambao jana katika mchezo dhidi ya KMC walizawadiwa mkwaju wa penati ambayo haukuwa halali

"Mtanyonga sana mwaka huu, sisi tutaendelea kula vya kuchinja. CEO wenu hatazungumza tena kwani hii ndio 'fair' aliyokuwa akiitaka," alitamba Bumbuli

Yanga itashuka dimbani Jumamosi mkoani Arusha ambako watacheza na Dodoma Jiji katika mchez utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Bado Wananchi wako juu kileleni mwa msimamo wa ligi wakiwa wamejikusanyia alama 37, alama tano zaidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili

Zaidi Wananchi hawana kumbukumbu mara ya mwisho timu yao ilifungwa lini....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’