Kama ilivyo kawaida, michuano ya kombe la Mapinduzi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu visiwani Zanzibar
Yanga yenye historia ya aina ya yake na Zanzibar, imeshiriki michuano hiyo tangu kuanzishwa kwake na mwaka huu inakwenda kushiriki pia
Mpaka sasa timu tisa zimethibitisha kushiriki michuano ya mwaka huu
Pamoja na Yanga, timu nyingine zilizothibitisha kushiriki michuano hiyo ni Mlandege, Malindi, Jamhuri, Chipukizi, Simba, Namungo, Azam Fc na mabingwa watetezi Mtibwa Sugar
ADVERTISE HERE