Yanga kuifuata Mwadui Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2020
Yanga kuifuata Mwadui Fc leo

Msafara wa wachezaji 24 na viongozi nane wa kikosi cha Yanga unaondoka leo kuelekea mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi uwanja wa CCM Kambarage

Yanga itasafiri kwa ndege mpaka mkoani Mwanza ambako wataunganisha kwa basi hadi Shinyanga

Vinara hao wa ligi kuu wamebaki kuwa timu pekee ambayo haijafungwa msimu huu. Wanakwenda Shinyanga wakiwa na hesabu moja tu, kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu pale CCM Kambarage

Baada ya mchezo huo wataelekea mkoani Arusha kuwasubiri Dodoma Jiji tayari kwa mchezo unaofuata ambao utapigwa Disemba 19

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’