Ni Jumapili hii pale kwa Mkapa, Yanga vs Ruvu Shooting

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2020
Ni Jumapili hii pale kwa Mkapa, Yanga vs Ruvu Shooting

Jamaniee kwa atakayeweza kwenda uwanjani pale kwa Mkapa Jumamosi, aende kwani soka linaendeshwa kwa misingi ya sheria na taratibu na sio kwa matamko ya watu

Lakini sisi Wananchi shughuli yetu ni Jumapili hapohapo uwanja wa Mkapa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa kuanzia saa moja kamili usiku

Yanga itakuwa na nafasi ya kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi sasa wakiongoza kwa tofauti ya alama tano dhidi ya Azam Fc na alama nane dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya tatu

Nawakumbusha tu baada ya mechi hiyo, itabaki mechi moja tu kabla ya kumshuhudia fundi Saido Ntibazonkiza akiwatumikia Wananchi

Disemba 19 atakuwepo uwanjani katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji hapo hapo kwa Mkapa

Dirisha dogo limefika wakati mwafaka, GSM watalitumia kuimarisha maeneo yenye mapungufu ili kuhakikisha ubingwa unarejea Jangwani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’