Jumamosi Yanga itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ruvu Shooting katika moja ya mechi tano za kufungwa mwaka 2020
Hesabu kali za kocha Cedric Kaze ni kuhakikisha Yanga inamaliza mwaka ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi
Hizi hapa mechi za kufunga mwaka

ADVERTISE HERE