Msako wa alama tatu unaendelea dhidi ya JKT Tanzania leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Nov 2020
Msako wa alama tatu unaendelea dhidi ya JKT Tanzania leo

Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Yanga leo wana nafasi ya kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kama wataondoka na alama zote tatu kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa kumi kamili Alasiri

Baada ya kuwavurumisha Azam Fc kwenye dimba lao la nyumbani, vijana wa kocha Cedric Kaze wamepania kuendeleza wimbi la ushindi

Kaze amebainisha kuwa wachezaji wake wako tayari kwa mchezo huo akiwataja wachezaji ambao watakosekana kutokana na sababu mbalimbali

Nahodha Lamine Moro hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga leo kwa kuwa anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano

Carlinhos, Kibwana Shomari wao ni majeruhi wakati Haruna Niyonzima akiwa na ruhusa kutokana na changamoto alizopata kwao Rwanda

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’