Yanga yapania kurejea kibabe mechi ya Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Nov 2020
Yanga yapania kurejea kibabe mechi ya Azam Fc

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo Fc jana, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumatano

Nahodha Msaidizi wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto amesema hawakufurahishwa na matokeo ya mchezo wa jana hivyo wamejipanga kuhakikisha wanapata matokeo katika mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc

"Wachezaji wote hatukufurahishwa na matokeo tuliyopata jana, tunajiandaa vyema kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye mchezo wa Jumatano dhidi ya Azam Fc," alisema Mwamnyeto

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’