Muda mchache ujao Taifa Stars itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Tunisia katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021
Wachezaji Tuisila Kisinda na Mukoko Tomombe wameonyesha sapoti yao kwa timu ya Taifa hasa kwa wachezaji wenzao wanaocheza nao Yanga ambao wako na timu ya Taifa


Nyota hao wamevalia jezi ya timu ya Taifa yenye majina ya wachezaji wote wa Yanga
Ni tukio la kwanza kufanywa na nyota wa kigeni kuwaunga mkono wenzao, wachezaji wetu wana kitu cha kujifunza kupitia tukio hili la kusisimua
ADVERTISE HERE