Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick ametolea ufafanuzi tuhuma dhidi yake juu ya kuihujumu klabu ya Yanga
Aidha Simon ambaye ni Mkurugenzi wa Sheria, amebainisha changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika kesi walizofungua TFF kwa masuala mbalimbali yenye maslahi na klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE