Shoo ya Ntibazonkiza inaendelea Burundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2020
Shoo ya Ntibazonkiza inaendelea Burundi

Wanayanga wana kila sababu ya kuwa na furaha pale wanaposikia mchezaji wao mpya Saido Ntibazonkiza 'akikiwasha' kwelikweli akiwa na timu ya Taifa ya Burundi

Ntibazonkiza leo ameibeba Burundi wakati ikipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mauritania, mwamba huyo akiweka kambani mabao mawili

Ni Ntibazonkiza aliyefunga bao pekee la Burundi kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Mauritania uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Ntibazonkiza amefunga mabao manne katika mechi tatu zilizopita akiwa na kikosi cha Burundi. Alianza shoo yake kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa Stars akifunga bao pekee la ushindi uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya mchezo wa leo, Ntibazonkiza anatarajiwa kutua nchini kuanza rasmi majukumu yake katika klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’