Shoo ya Carlinhos inarejea Azam Complex leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Nov 2020
Shoo ya Carlinhos inarejea Azam Complex leo

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Carlinhos atakuwa dimbani leo wakati Yanga itakapokuwa ikipepetana na African Lyon katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi saa moja usiku

Carlinhos amekuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki tatu akisumbuliwa na majeraha ya goti aliyopata wakati Yanga ikijiandaa na mchezo dhidi ya Polisi Tanzania

Kaze amesema Carlinhos amepona majeraha na bila shaka atakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya African Lyon leo na pengine ataonekana tena katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo FC November 22 kwenye dimba la Benjamin William Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’