Stars mikononi mwa Tunisia leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Nov 2020
Stars mikononi mwa Tunisia leo

Saa nne usiku wa leo Ijumaa, timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itashuka uwanjani ugenini nchini Tunisia kupepetana na wenyeji wao katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za michuano ya Afcon 2021

Huu ni mchezo muhimu sana kwa Tanzania, matokeo ya ushindi yanaweza kuiweka Stars katika nafasi nzuri ya kufuzu ikitokea watafanikiwa kushinda tena mchezo wa marudiano ambao utapigwa Novemba 17 uwanja wa Benjamin Mkapa

Juzi Libya ilipoteza mchezo nyumbani dhidi ya Guinea ya Ikweta na hivyo ushindi au hata sare kwa Stars itawarejesha katika nafasi ya pili kundi J

Hata hivyo hautakuwa mchezo mwepesi kwa Stars, Tunisia ndio vinara wa kundi J wakiwa wameshinda mechi zao zote mbili walizocheza

Ndio wanaopewa nafasi kubwa zaidi ya kufuzu wakiwa vinara kundi J

Etienne Ndayiragije kocha mkuu wa Stars amesema wamejipanga kuhakikisha wanapata matokeo katika mchezo huo, wakikosa ushindi hata alama moja itakuwa na faida kwao

Stars leo itamkosa mshambuliaji wake Mbwana Samatta ambaye ameshindwa kujiunga na timu baada ya kupata majeraha katika klabu yake ya Fernabahce

Stars iliweka kambi ya siku tatu Uturuki kabla ya safari ya Tunisia tayari kwa mchezo huo usiku wa leo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
2h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’