Jumapili ijayo kikosi cha Yanga kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuanzia Saa 1:00 usiku.
Viingilio ni Tsh 3,000/- mzunguko na Tsh 5,000/- VIP
Mchezo huu ni nafasi kwa vijana wa Cedric Kaze kujiweka sawa wakati huu ligi ikiwa imesimama kupisha kalenda ya michezo ya kuwania kufuzu Afcon 2021
ADVERTISE HERE