Kaze awapa mapumziko wachezaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Nov 2020
Kaze awapa mapumziko wachezaji

Wakati nyota nane wakijiunga na timu za Taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021, kocha mkuu wa Yanga Cedric Kaze amewapa wachezaji mapumziko ya siku nne

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Simba jana, mchezo unaofuata ni dhidi ya Namungo Fc na utapigwa Novemba 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kaze amewapa mapumziko ya siku nne wachezaji waliobaki kabla ya kuanza maandalizi ya kuelekea mchezo huo

Baada ya mchezo huo, mchezo utakaofuata ni dhidi ya Azam Fc

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’