Kili Stars yalazimishwa suluhu na Libya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Dec 2017
Kili Stars yalazimishwa suluhu na Libya
Kilimanjaro Stars imelazimishwa sare ya 0-0 na waalikwa kutoka Kaskazini mwa Afrika, Libya katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge jioni ya leo Uwanja wa Kenyatta, Machakos nchini Kenya.

Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Alex Muhabi aliyesaidiwa na Okelo Dick wote wa Uganda na Kakunze Herve wa Burundi, Libya ndio waliotawala zaidi na kutengeneza nafasi nyingi, lakini bahati mbaya umaliziaji ukawaangusha.

Kilimanjaro Stars inayonolewa na kocha Ammy Ninje haikucheza kwa muunganiko wa kitimu zaidi kila mchezaji alicheza kivyake.

Kikosi cha Tanzania Bara kilikuwa; Aishi Manula, Erasto Nyoni, Gardiel Michael, Kennedy Willson, Kevin Yondan, Hamisi Abdallah/Jonas Mkude dk66, Shiza Kichuya, Ibrahim Ajib, Elias Maguri/Daniel Lyanga dk82, Mbaraka Yussuf/Yahya Zayeddk61 na Muzamil Yassin.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’