Yanga yavutwa shati Misungwi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Nov 2020
Yanga yavutwa shati Misungwi

Yanga imelazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Gwambina katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Gwambina

Kocha Cedric Kaze alifanya mabadiliko ya kikosi chake akiwapa mapumziko baadhi ya wachezaji wake muhimu

Matokeo hayo yanaiweka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 23

Yanga sasa inarejea jijini Dar es salaam kuwasubiri watani zao SImba tayari kwa mchezo utakaopigwa Novemba 07, uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’