Ratiba ya mechi za Yanga Novemba 2020

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2020
Ratiba ya mechi za Yanga Novemba 2020

Mwezi huu Yanga itashuka dimbani mara tano, miongoni mwa mechi hizo ni dhidi ya wapinzani wake katika mbio za ubingwa, Azam Fc na Simba

Ratiba hiyo inaanza kesho Jumanne kwa mabingwa hao wa kihistoria kuikabili Gwambina Fc katika mchezo utakaopigwa Misungwi, Mwanza

Novemba 07 vijana wa Cedric Kaze watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupimana ubavu na watani zao Simba

Baada ya wiki mbili za mapumziko ya kalenda ya Kimataifa, Novemba 22 Yanga itarejea uwanja wa Mkapa kuikabili Namungo Fc ambapo siku tatu baadae wataelekea Chamazi kuikabili Azam Fc Novemba 25

Ratiba itakamilika Novemba 28 kwa mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa uwanja wa Mkapa/Uhuru

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’