Msako wa alama tatu unaelekea Misungwi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Nov 2020
Msako wa alama tatu unaelekea Misungwi

Mashabiki wa Yanga jana kwa wingi wao, walijitokeza uwanja wa Karume, Musoma kuiunga mkono timu yao kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Ushindi wa bao 1-0 uliihakikishia Yanga kuondoka na alama zote tatu, wakiendeleza kasi yao ya msako wa alama tatu kila wanapocheza

Msako huo unaelekea kule Misungwi ambapo keshokutwa Jumanne Yanga itakuwa mgeni wa Gwambina Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Gwambina

Tangu kampeni hiyo ilipoanza, Yanga imeshinda mechi zake zote saba kwenye ligi

Uongozi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla wako bega kwa bega na timu kila mahali inapokwenda

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’