Kikosi cha Yanga kimeendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Alhamisi, Oktoba 22 uwanja wa Uhuru
Kocha Cedric Kaze ameendelea kuwaweka sawa vijana wake kuelekea mchezo huo





ADVERTISE HERE