Tumuunge mkono Kaze - Hersi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Oct 2020
Tumuunge mkono Kaze - Hersi

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM mhandisi Hersi Said amesema wana imani na kocha Cedric Kaze aliyetua usiku wa kuamkia leo akitokea Canada

Hersi amesema baada ya kocha huyo kutua, sasa wanaianza rasmi safari yao ya kusaka ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Hersi amewataka mashabiki wa Yanga kumuunga mkono kocha huyo raia wa Burundi ambaye safari yake mpaka kutua Tanzania ilichukua saa 48

"Tunashukuru kocha wetu amefika salama, ilikuwa ni safari ndefu. Binafsi nina imani kubwa sana na kocha Kaze. Baada ya yeye kuwasili, kwa pamoja tunaianza safari ya kuwania ubingwa"

"Lakini jambo moja muhinu, sote tunapaswa kumuunga mkono kocha ili aweze kufanya kazi yake vyema. Tumpe nafasi atimize majukumu yake," alisema Hersi

Kaze anatarajiwa kuwa na mazungumzo na viongozi wa Yanga baadae leo na anatarajiwa kuanza rasmi majukumu yake Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’