Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amewasili nchini kuanza majukumu ya kuwanoa mabingwa hao wa kihistoria
Baada ya kusubiriwa kwa takribani wiki mbili, hatimaye Kaze yuko ndani ya ardhi ya Tanzania
Anatarajiwa kusaini mkataba na kufuatiwa na kikao na viongozi wa Yanga
Kaze hatakuwa na muda wa kupoteza, kesho Jumamosi anatarajiwa kuwa kwenye viunga vya mazoezi ya klabu ya Yanga, Avic Town Kigamboni
Karibu Tanzania, Mwalimu....
ADVERTISE HERE