Pichani juu, Ditram Nchimbi akiwa na fundi Feisal Salum 'Fei Toto' na beki kisiki Bakari Nondo Mwamnyeto kwenye majukumu ya timu ya Taifa
Wachezaji hao pamoja na mlinda lango Metacha Mnata wamejumuishwa kwenye kikosi cha Stars kinachojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi ambao utapigwa Oktoba 11 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Haruna Niyonzima ni nyota mwingine wa kikosi cha Yanga ambaye amejumuishwa timu ya Taifa ya Rwanda iliyotangaza kikosi chake jana
ADVERTISE HERE